Elle Duncan

Mwandishi wa habari za michezo wa Marekani

Lauren Elle Duncan akiwa NESN tarehe 7 aprili 2016|alt=Lauren Elle Duncan akiwa NESN tarehe 7 aprili 2016]] Lauren Elle Duncan Alizaliwa mnamo 12 Aprili, 1983 ) ni mwanahabari wa habari za kimichezo nchini Marekani.[1]

Ele Duncan

Amezaliwa Elle Duncan
Aprili 12, 1983
Atlanta, Georgia
Kazi yake Mwigizaji, Mwandishi, Mtangazaji wa habari kwenye televisheni

Taaluma hariri

Duncan alianza taaluma yake katika jiji la Atlanta kama mtangazji wa kujitolea katika kipindi cha michezo cha [sports talk radio show on 790/The Zone].[2] baada ya mwaka aliajiriwa na Ryan Cameron na kujiunga katika kipindi cha Ryan Cameron Show .[3]

Marejeo hariri

  1. "Elle Duncan Joins ESPN as SportsCenter Anchor". espnmediazone. Iliwekwa mnamo 2016-05-06. 
  2. Ho, Rodney. "Exclusive: Elle Duncan moving to V-103's Frank & Wanda morning show". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-06. Iliwekwa mnamo 2016-04-08.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. "Elle Duncan Home Page ; THE OFFICIAL SITE OF THE ATLANTA HAWKS". www.nba.com. Iliwekwa mnamo 2016-04-08. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elle Duncan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.