Elsa Majimbo

Mchekeshaji wa Kenya

Elsa Majimbo (alizaliwa 29 Juni 2001) ni mwanamke mchekeshaji wa kwenye mtandao kutoka Nairobi, Kenya.[1]

Alijulikana sana kwenye kipindi cha karantini wakati wa Covid-19 kwa kutengeneza video za kuchekesha akiwa nyumbani[2]. Aliidhinishwa na Fenty na MAC, mnamo 20 Februari 2021 alipata mafanikio ya kushirikiana na chapa ya starehe ya Valentino.[3][1][4]

Kazi na elimu

hariri

Elsa ni mwanafunzi wa uandishi wa habari kutoka chuo kikuu cha Strathmore, Nairobi.[5] Alikua akichapisha kwenye mitanda maongezi ya monologia kuanzia mwaka 2016 lakini aliacha mwaka 2019. [6]

Kazi ya mchezo wa chesi

hariri

Elsa alionekana katika tovuti ya Netflix [7] ambapo alitajwa kama mchezaji Hodari wa mchezo wa chesi na alishawahi kuwa mshindi mara kumi na tano (15) katika mchezo huo wa chesi. Hata hivyo Elsa siyo mtaalamu wa mchezo wa chesi kwani hakukadiriwa katika viwango vya FIDE. [8] Mnamo mwaka 2007, alicheza chesi katika mashindano ya kitaifa ya vijana kwa walio na umri chini ya miaka kumi sita (16) na kuwa mshindi wanne. [9] Elsa alicheza mchezo wa chesi katika mashindano ya Alliance High Open Chess Tournament mwaka 2017. [10]

Utambuzi

hariri

Monolijia za Elsa zilishirikishwa katika tovuti ya vichekesho ya Comedy Central mara kadhaa mezi Juni mwaka 2020 [11] Na alipongezwa na Lupita Nyong'o, Joan Smalls, mlimbwende wa dunia , Zozibini Tunzi, Snoop Dogg na Cassper Nyovest. [12][13][14][2] Elsa pia ni balozi wa kampuni ya vipodozi ya MAC. Katika maendeleo yake ya hivi karibuni, Majimbo allikuwa balozi katika kampuni ya mitindo ya Rihanna iitwayo Fenty(fashion house) ambapo alikuwa akifanya maonyesho ya kila miwani ya kampuni hiyo. Alishinda tuzo ya chaguo bora la watu katika shindano la Favorite African Social Star yam waka 2020. [15] Mwaka 2020 katika tuzo za Streamy ya mtandao wa Youtube, Lilly Singh alimtunuku Majimbo tuzo ya heshima ya ubunifu huku akimsifu Majimbo kwa staili yake ya vichekesho vilivyo mfanya acheke kipindi chote cha mwaka 2020. [16]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Sullivan, Helen. "Elsa Majimbo, the crisp-eating, straight-talking star of Kenya's Covid-19 lockdown", The Guardian, 2020-07-06. (en-GB) 
  2. 2.0 2.1 Mbati, John (25 Aprili 2020). "Kenyan Girl Goes Viral Globally With Comical Coronavirus Video". Kenyans.co.ke (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-07-08.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Majimbo, Elsa (Februari 20, 2021). "Elsa's World". Twitter. {{cite web}}: Missing or empty |url= (help)CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
  4. "Take Five with Elsa Majimbo". Daily Nation (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-08. Iliwekwa mnamo 2020-07-08. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  5. Magadla, Mahlohonolo. "'It's not by mistake' that Elsa Majimbo became a social media sensation, she answers 10 questions". Drum (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-07-08.
  6. "Five minutes with internet sensation Angel 'Elsa' Majimbo". SowetanLIVE (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-07-08.
  7. Eldor, Karin. "The Real Queen's Gambit: How Elsa Majimbo Is Winning Over A Global Audience, One Move At A Time". Forbes (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-01-31.
  8. "Majimbo Elsie". ratings.fide.com. Iliwekwa mnamo 2021-02-06.
  9. "Chess-Results Server Chess-results.com - Kenya National Youth Chess Championship Finals - U16 Girls". chess-results.com. Iliwekwa mnamo 2021-02-06.
  10. Masala, Kenya Chess (2017-02-07). "Alliance High Open Chess Tournament - 2017". Kenya Chess Masala (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-02-06.
  11. "Young Kenyan comedian lands slot on Comedy Central". Nairobi News (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-26. Iliwekwa mnamo 2020-07-08. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  12. "Kenya". BBC News (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2020-07-08.
  13. Magadla, Mahlohonolo. "'It's not by mistake' that Elsa Majimbo became a social media sensation, she answers 10 questions". Drum (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-07-08.
  14. "WATCH: Exclusive chat with internet sensation Elsa Majimbo". www.glamour.co.za (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-07-08.
  15. Mutinda, Tracy (9 Novemba 2020). "Comedian Elsa Majimbo wins E! People's Choice Award". The Star. Iliwekwa mnamo 28 Desemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  16. https://www.billboard.com/articles/news/awards/9498833/youtube-streamy-awards-2020-winners-list
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elsa Majimbo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.