Emery Welshman
Emery Simeon Alexander Welshman (alizaliwa Kanada, Novemba 9, 1991) ni mchezaji wa soka anayecheza kama mshambuliaji wa timu ya Sigma FC katika ligi ya Ontario. Welshman aliwakilisha timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Guyana.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "Toronto FC Place Emery Welshmen on Waivers". Wakingthered.com. 25 Februari 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Februari 2020. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Emery Welshman, ex-TFC striker, on trial at RSL". Rslsoapbox.com. 4 Februari 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 22 Februari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emery Welshman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |