Emilio Simeon Allué Carcasona, S.D.B. (18 Februari 193526 Aprili 2020) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki aliyezaliwa Hispania na baadaye kuwa raia wa Marekani.

Alitumikia kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Boston hadi alipostaafu mwaka 2010.[1]

Marejeo

hariri
  1. "OTHER PONTIFICAL ACTS", Christus Rex, 24 July 1996. 
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.