Emily Atkin
Mwandishi wa habari wa mazingira wa Marekani
Emily Atkin ni mwandishi wa habari za mazingira anayejulikana sana kwa kuanzisha jarida la kila siku kuhusu mabadiliko ya tabianchi linaloitwa HEATED. [1] [2] [3] Pia alizindua podikasti yenye jina hilo hilo ili kuchunguza masuala ya kijamii yanayogusia mabadiliko ya tabianchi, hasa yaliyoangaziwa na janga la COVID-19.
Hapo awali, Emily Atkin alikuwa mwandishi wa habari wa The New Republic na ThinkProgress [4] Yeye ni mchangiaji wa insha iliyoitwa All We Can Save, iliyohaririwa na Ayana Elizabeth Johnson na Katharine K. Wilkinson, [5] na mwandishi wa safu katika MSNBC. [6]
Atkin alilelewa huko New York, na kusoma katika Chuo Kikuu cha Jimbo la New York huko New Paltz kozi ya uandishi wa habari. [7]
Marejeo
hariri- ↑ "Contributors". All we can save (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-07. Iliwekwa mnamo 2020-09-02.
- ↑ Nadia (4 Machi 2020). "How Emily Atkin turned her climate change newsletter into a six-figure income". on.substack.com. Iliwekwa mnamo 2020-09-02.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Hentz (2019-10-01). Emily Atkin is pissed off about climate change. Her new newsletter Heated says we all should be (en-US). Storybench. Retrieved on 2020-09-02.
- ↑ Nadia (4 Machi 2020). "How Emily Atkin turned her climate change newsletter into a six-figure income". on.substack.com. Iliwekwa mnamo 2020-09-02.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Contributors". All we can save (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-07. Iliwekwa mnamo 2020-09-02.
- ↑ "MSNBC Author Emily Atkin". MSNBC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-06. Iliwekwa mnamo 2024-10-08.
- ↑ Segalov, Michael. "'The parallels between coronavirus and climate crisis are obvious'", The Guardian, 2020-05-04. (en-GB)