Emily Newell Blair
Alikuwa mwandishi na mwanaharakati wa nchini Marekani (1877-1951)
Emily Newell Blair (Januari 9, 1877 – 3 Agosti, 1951) alikuwa mwandishi na mwanaharakati wa nchini Marekani. Pia alikua kiongozi wa cha cha siasa cha Democratic Party, na mwanzilishi wa ligi ya wapiga kura wanawake.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emily Newell Blair kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |