Emmanuel Taiwo Jegede

Emmanuel Taiwo Jegede (amezaliwa Juni 1943) [1] msanii kutoka Nigeria, akijulikana zaidi kama mchoraji, na mchongaji sanamu (katika mbao, shaba na kauri), mshairi na msimuliaji wa hadithi.[2]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emmanuel Taiwo Jegede kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.