Equatoria Mashariki

Equatoria Mashariki ilikuwa jimbo la Sudan kabla ya uhuru wa Sudan Kusini.

Ramani ya Equatoria Mashariki.

Kwa sasa ni jimbo la nchi hiyo mpya.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Equatoria Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.