Ernesta Drinker Ballard

Ernesta Drinker Ballard (alizaliwa 1920 – alifariki 11 Agosti 2005) alikuwa mwanaharakati wa nchini Marekani, ni miongoni wa waanzilishi wa mashirika kama National Organization for Women, National Abortion and Reproductive Rights Action League, na Pennsylvania Horticultural Society.

Ballard alikuwa mkurugenzi mtendaji wa Pennsylvania Horticultural Society]] tangu mwaka 1963 hadi 1981, alipewa sifa na The New York Times kwa kuleta Philadelphia Flower Show yake ya kila mwaka kwa umaarufu wa kimataifa.."[1][2]

Marejeo

hariri
  1. Saxon, Wolfgang. "Ernesta Drinker Ballard, 85, Horticulturist and Feminist, Dies", The New York Times, 1 September 2005. Retrieved on 27 March 2011. 
  2. Ciarrochi, Lillian (15 Agosti 2005). "In Memoriam: Ernesta Drinker Ballard". National Organization for Women. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Machi 2012. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernesta Drinker Ballard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.