Esther Matiko
Mwanasiasa mtanzania kutoka chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Esther Matiko (amezaliwa tarehe 24 Novemba 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama pinzani cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tarime Mjini kwa miaka mitano (2015 - 2020.)[1] Ndio mbunge wa kwanza wa mwanamke kuongoza jimbo la Tarime. [2]
Marejeo
hariri- ↑ "Profile: Hon. Esther Nicholus Matiko", Parliament of Tanzania. Retrieved on October 20, 2016.
- ↑ https://millardayo.com/tarimedec2015/
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |