1976
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| ►
◄◄ |
◄ |
1972 |
1973 |
1974 |
1975 |
1976
| 1977
| 1978
| 1979
| 1980
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1976 BK (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
- 29 Juni - Visiwa vya Shelisheli vinapata uhuru kutoka Uingereza.
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2022 MMXXII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5782 – 5783 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2775 |
Kalenda ya Ethiopia | 2014 – 2015 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1471 ԹՎ ՌՆՀԱ |
Kalenda ya Kiislamu | 1444 – 1445 |
Kalenda ya Kiajemi | 1400 – 1401 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2077 – 2078 |
- Shaka Samvat | 1944 – 1945 |
- Kali Yuga | 5123 – 5124 |
Kalenda ya Kichina | 4718 – 4719 辛丑 – 壬寅 |
- 1 Februari - Giacomo Tedesco, mchezaji mpira kutoka Italia
- 29 Februari - Ja Rule, mwanamuziki kutoka Marekani
- 4 Aprili - Saida Karoli, mwimbaji kutoka Tanzania
- 24 Aprili - Afande Sele, mwanamuziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania
- 7 Mei - Carrie Henn, mwigizaji kutoka Marekani
- 29 Mei - Francis Kimanzi, mchezaji mpira kutoka Kenya
- 10 Juni - Mariana Seoane, mwigizaji na mwimbaji kutoka Mexiko
- 7 Julai - Hamish Linklater, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 19 Julai - Diether Ocampo, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
- 9 Agosti - Rhona Mitra, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 26 Septemba - Michael Ballack mchezaji mpira kutoka Ujerumani
- 27 Septemba - Francesco Totti mchezaji mpira kutoka Uitalia
- 15 Novemba - Lucy Chege, mchezaji wa voliboli kutoka Kenya
- 27 Novemba - Jean Grae, mwanamuziki wa Marekani
- 13 Desemba - Rama Yade, mwanasiasa wa Ufaransa kutoka Senegal
- 29 Desemba - Danny McBride, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
bila tarehe
- Mwajuma Abdul, mwigizaji filamu kutoka Tanzania
WaliofarikiEdit
- 1 Februari - George Whipple, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1934
- 1 Februari - Werner Heisenberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1932
- 17 Aprili - Henrik Dam, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1943
- 15 Mei – Samuel Eliot Morison, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1943
- 31 Mei - Jacques Monod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 25 Agosti - Eyvind Johnson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1974
- 26 Septemba - Leopold Ruzicka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1939
- 5 Oktoba - Lars Onsager, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1968
bila tarehe
- James Jolobe, mchungaji na mshairi wa Afrika Kusini aliyeandika hasa kwa Kixhosa
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu: