Et L'Empire Bakuba – Untitled

Et l'Empire Bakuba (albamu hii haina jina) ni albamu iliyotoka mwaka 1982 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Pepe Kalle. Albamu ina nyimbo nne tu, upande A 2 na upande B 2.

Untitled
Untitled Cover
Studio album ya Pepe Kalle
Imetolewa 1982
Imerekodiwa 1981-1982
Aina Soukous
Lebo Editions Veve International
Wendo wa albamu za Pepe Kalle
"Et L'Empire Bakuba – Untitled"
(1982)
"Bitoto"
(1985)

Orodha ya nyimboEdit

Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.

  • A1 - Kunda Ebembe
  • A2 - Tabu
  • B1 - Bimansha
  • B2 - Kiwaka

Viungo vya NjeEdit