Etighi ni ngoma ya Nigeria ambayo ilianzishwa na watu wa Akwa Ibom. Ngoma hiyo inahitaji harakati za mguu na kiuno. Ngoma hiyo inajulikana kote Nigeria na hutumiwa sana na watu wa Waibibio na wa Efik ambapo asili yake ilianza.[1]

Umaarufu

hariri

Ngoma hii imekuwa ikitumiwa katika video za muziki kadhaa nchini Nigeria na kote ulimwenguni. Ngoma hiyo ilipata umaarufu mkubwa wakati Iyanya alipotumia ngoma hiyo katika video yake maarufu ya muziki.[2][3]

Marejeo

hariri
  1. "Top Dance Styles in Africa - Africa.com". www.africa.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2017-07-24.
  2. Kimuyu, Hilary. "Nigeria: Iyanya – In Kenya You Feel Like You Are in Europe", The Nation (Nairobi), 2017-06-27. 
  3. "Besides learning the Etighi and Shoki dance, here are a few things Ciara picked up in Nigeria - Ventures Africa", Ventures Africa, 2016-03-02. (en-US)