Akwa Ibom (jimbo)
(Elekezwa kutoka Akwa Ibom)
Akwa Ibom ni jimbo la kujitawala la Nigeria lenye eneo la 7,081 km² na wakazi milioni 4,8 (2005). Mji mkuu ni Uyo na mji mkubwa jimboni ni Ikot Ekpene mwenye wakazi 254,821 (2005).
Akwa Ibom iko katika kusini ya Nigeria kwenye mwambao wa ghuba ya Guinea ikipakana na majimbo ya Abia, Rivers na Cross River.
Jimbo lilianzishwa kutokana na sehemu za eneo la jimbo la Cross River mwaka 1987.
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara |
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Akwa Ibom (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |