Eugénie Le Brun

Eugénie Le Brun pia alijulikana kama Madame Rushdi (kufariki Oktoba 16,1908) ni mzaliwa wa Ufaransa na mwanaharakati na msomi wa mwanzoni wa Misri, mshawishi mkubwa na kiongozi wa saluni pia ni rafiki wa karibu wa Huda Sha'arawi.[1]

Picha ya Eugenie-le-brun
Picha ya Eugenie-le-brun

MarejeoEdit

  1. Naomi Wilcox-Lee. Eugenie le Brun (en). sheroesofhistory.wordpress.com. Iliwekwa mnamo 2022-03-02.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eugénie Le Brun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.