Eugene Wigner

Tuzo Nobel.png

Eugene Paul Wigner (17 Novemba 19021 Januari 1995) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa nchi wa Hungaria na jina Jenő Pál Wigner. Hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1963, pamoja na Johannes Hans Daniel Jensen na Maria Goeppert-Mayer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Eugene Wigner
Werner Heisenberg + Eugene Wigner (1928)
Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eugene Wigner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.