"Evergreen" ni wimbo wa miondoko ya pop uliotungwa na Jörgen Elofsson, Per Magnusson pamoja na David Kreuger, na kurekodiwa kwa mara ya kwanza na kundi la Westlife. Wimbo huu upo katika albamu yao ya World of Our own, na ulitoka kama single nchini Ufilipino, ambapo ilifanikiwa kufika katika nafasi ya 3# kutokana na mahitaji kutoka kwa mashabiki wao. Lakini wimbo huu ulifanywa maarufu zaidi na mshindi aliyeshinda nafasi ya kwanza katika mashindano ya Pop Idol la nchini Uingereza Will Young.

Anything Is Possible" / "Evergreen”
“Anything Is Possible" / "Evergreen” cover
Single ya Will Young
Muundo CD
Aina Pop
Studio BMG
Mtunzi Jörgen Elofsson, Per Magnusson, David Kreuger
Mtayarishaji Per Magnusson, David Kreuger
Certification 3x Platinum (UK)
Mwenendo wa single za Will Young
"Anything Is Possible" / "Evergreen"
(2002)
"Light My Fire"
(2002)

Wimbo huu ulichaguliwa kuwa single ya kwanza na washindi watatu wa shindano hilo, Will Young, Gareth Gates na Darius Danesh. Na kwa pamoja waliurekodi kwa mara ya pili

Wimbo huu uliimbwa na washindi wote wawili yaani Young na Gates, ambapo Young alikuwa mshindi wa kwanza na kurekodi wimbo huu kama single, pamoja na wimbo wa "Anything Is Possiblee", ambao pia ulirekodiwa na washindi watatu wa kwanza na kuimbwa jukwaani na washindi wawili. Wimbo huu ulienda moja kwa moja katika nafasi ya kwanza katika chati ya Muziki ya Uingereza na kushikilia nafasi hiyo kwa wki tatu mfululizo, na kutolewa na wimbo wa Gates ulioitwa "Unchained Melody". Wimbo huu ulioimbwa na Young ulikuwa wimbo uliowahi kufanya mauzo yake haraka zaidi nchini Uingereza kwa kufanikiwa kuuaza nakala kiasi cha 403,027 katika siku yake ya kutolewa. Na baadae uliendela na kufikia kuuza nakala zaidi ya milioni 1.7 katika orodha ya nyimbo zilizoongoza kwa mauzo nchini Uingereza.

Pia wimbo huu ndio wimbo ulioongoza kwa mauzo katika karne ya Uingereza hadi leo. Wimb huu pia ulijumuishwa katika albamu ya Young iloitwa year, it appeared 11th. It is also the best-selling single of the 21st century in the United Kingdom so far. From Now On.

Toleo la Gates lilitolewa katika upande B wa single yake ya "Unchained Melody". Tarehe 31 Desemba 2009, wimbo huu ulitangazwa kuwa wimbo ulioongoza na kushika nafasi ya kwanza katika kipindi cha miaka kumi.

Orodha ya Nyimbo hariri

 1. "Anything Is Possible"
 2. "Evergreen"

Chati hariri

Nchi Peak
nafasi
UK 1
Ireland 2

Wafanyakazi hariri

 • Ulitungwa na Jörgen Elofsson, Per Magnusson pamoja naDavid Kreuger
 • Ulichapwa na BMG Music Publishing / Good Ear Music / Peer Music / Warner-Chappell Music
 • Ulitayarishwa na kupangwa naPer Magnusson pamoja naDavid Kreuger kwa upande A
 • Msaidizi wa matayarisho Jörgen Elofsson
 • Stockholm Session Orchestra walipanga wakiongozwa na Ulf na Henrik Janson
 • Ulirekodiwa katika studio za Olympic Studios, London, na upande A katika studio za , Stockholm
 • Fundi mitambo alikuwa Peter Lewis
 • Fundi mitambo msaidizi alikuwa Tim Roe
 • Orchestra ilifanyika katiks studio za R.O.A.M. Studios, Stockholm
 • Orchestra iliongozwa na fundi Fredrik Andersson
 • Mixed by Bernard Löhr at Olympic Studios, London, and Mono Studios, Stockholm
 • Keyboards by Per Magnusson
 • Programming by David Kreuger
 • Guitars by Esbjörn Öhrwall
 • Bass by Tomas Lindberg
 • Backing vocals by Anders von Hofsten, Jeanette Olsson and United Colours of Sound
 • Mastered by Richard Dowling at Transfermation

Tazama pia hariri

Alitanguliwa na
"It Wasn't Me" by Shaggy
Top selling single of the year (UK)
2002
Akafuatiwa na
"Where is the Love?" by Black Eyed Peas
Alitanguliwa na
"World of Our Own" by Westlife
UK number-one single
3 Machi 2002
Akafuatiwa na
"Unchained Melody" by Gareth Gates

Viungo vya nje hariri