Westlife ni kundi la muziki la nchini Ireland, lililoundwa tarehe 3 Machi 1998.Asili ya kundi hili linajumuisha wanamuziki kama vile Nicky Byrne, Kian Egan, Mark Feehily, Shane Filan na Brian McFadden ambaye ameacha kuimba katika mwaka 2004. Kwa sasa Feehily na Filan ndio wanaotumika kama waimbaji wakuu katika bendi hii. Bendi hii ya Westlife ndiyobendi pekee katika historia ya muziki wa Uingereza kuwahi kuwa na nyimbo za kwanza saba moja kwa moja hadi namba moja, na pia wameweza kuuza hadi nakala zaidi ya milionim arobaini na tano dunia nzima [1]. Ambayo inajumuisha nyimbo zilizorekodiwa studio,video, na albamu zenye kujumuisha nyimbo mbalimbali.[2][3]

Westlife
Westlife katika tamasha mwaka 2006
Westlife katika tamasha mwaka 2006
Maelezo ya awali
Asili yake Dublin na Sligo, Ireland
Aina ya muziki Pop, dance, ballad, pop rock
Miaka ya kazi 1998–mpaka sasa
Studio Sony BMG, RCA, Syco Music, Aristai
Tovuti westlife.com/frontpage
Wanachama wa sasa
Nicky Byrne
Kian Egan
Mark Feehily
Shane Filan
Wanachama wa zamani
Brian McFadden (1998–2004)

Walikuwa wanasimamiwa na Simon Cowel na sasa wako chini ya meneja wao ambaye anaitwa Steve Mac. Mwaka 2008, walitangazwa kushika nafasi ya tisa wanamuziki matajiri zaidi walio chini ya umri wa miaka 30, na kushika nafasi ya 13, kwa ujumla. Kwa upande wa Uingereza wamekuwa na nyimbo za peke peke yaani singels hadi kumi na nne, na kushika nafasi ya tatu katika histoia ya Uingereza. Wamewahi kuwa na Cliff Richard na pia wamefanya kazi na Elvis Presley na pia wamewahi kufanya kazi na The Beatles. Kundi hili la muziki limewahi kuvunja rekodi mbalimbali kama vile, Wanamuziki waliowahi, kuwa na miziki mingi katika nafasi ya kwanza nchini Uingereza na pia kwa uuzaji mkubwa zaidi katika eneo la Wembley

Katika miaka mingi ya kazi zao,kundi la Muziki la Westlife wamekuwa wakitengeneza nyimbo za vijana maarufu kama teen pop nyimbo za aina ya pop na kutilia mkazo katika nyimbo aina ya ballads. Wanamuziki wote wanaojumuisha kundi hili ni waandishi wa nyimbo. Lakini nyimbo zao nyingi zimeandikwa na waandishi kutoka nje ya kundi lao. Moja kati ya waandishi maarufu waliowahi kutengeneza nyimbo za kundi hili ni pamoja Steve Mac na Wayne Hector. Tarehe 1/6/2008, Westlife walifanya maadhimisho ya miaka 10, ambapo walifanya tamasha katika jiji la Dublin katika eneo la Croke Park na ambapo watu zaidi ya 83,000 walihudhuria hafla hiyo maalumu. Na kubainisha katika tovuti yao kuwa Westlife walitangazwa rasmi kuwa ndio waliofanya tamasha kubwa zaidi ndani ya miaka 2005 hadi 2008,na kuwa katika nafasi ya saba katika matamasha ya nje ya nchi kwa mwaka 2008.

Historia hariri

Kuundwa hariri

 
Westlife ilisajiliwa na Simon Cowell.

Tangu kuanzishwa kwa kikundi cha Westlife, Kian,Mark na Shane na wenzao Derrick Lacey, Keighron na MichaelGarret walikuwa sehemu ya wanachama sita wa kikundi cha Muziki lililoitwa IOYOU,lilikuwa likiongozwa na Mary McDonagh pamoja na viongozi wengine wawili.Meneja aliyekuwa anahusika na aina za kuceza alikuwa anaitwa Mary McDonagh pamoja na mameneja wengine wasaidizi,waliweza kutoa nyimbo kama "Together Girl Forever. Louis Walsh, alikuwa meneja kunzia mwaka 1990, katika kundi la muziki la Boyzone walisaini mkataba na mama yake na Shane na kuja kujua kuhusu kundi lao la Muziki. Lakini kundi hili halikuweza kupata ruhusa ya Simon Cowell's kwa ajili ya kurekodi muziki, hususani mkataba wa na kampuni ya BMG na hivyokundi hilo likahitaji mabadiliko. Hivyo wanachama watatu kutoka katika kundi la IOYOU hawatakuwa wanachama katika kundi hilo, na hivyo Mjini Dublin ndipo Nicky Byrnena Brian McFadden waliongezwa katika kundi hilo. Kundi jipya lilianzishwa tarehe 3/7/1998 na kundi hilo likabailishwa jina kuwa Westside, lakini jina hilo lilikuwa tayari limeshachukuliwa na Kundi lingine, kwa hiyo likabadilishwa na kuwa Westlife, pia likabadilisha jina la Brian na kuwa Brayan. Mwanamuziki wa kundi la Boyzone RonanKeating aliletwa kwa ajili ya kusaidia katika kuongoza kundi kwa msaada wa Walsh. Westlife ndipo walipotoa kibao kilichokuwa na jina la swear It Again japokuwa kilikuwa katika bara la Asia pekee


Ndoto kuwa Kweli,-World Of Our Own (1998-2002) hariri

Westlife walianza kutoa nyimbo zao za kwanza mwaka 1998,wakati waliposhiriki katika ufunguzi wa kundi la Boyzone na Backstreet Boys katika tamasha la Dublin.Baadae mwaka huo huo, walishinda tamasha zuri kuliko yote na kupata tuzo ya Smash Hits Poll Winners Party .Mwezi wa tatu mwaka 1999, kundi hili la muziki lilitoa muziki wake wa kwanza mmoja Swear It Again ambayo haikichukua muda kabla ya kushika katika namba moja katika chati ya muziki nchini Ireland na nchini Uingereza kwa kipindi cha wiki mbili. Wimbo wao wa pili uliitwa If I Let You Go ulitoka mwezi wa nane mwaka 1999, pamoja na wimbo uliopendwa zaidi wa Flying Without Wings ( Recodi yao kwanza ya mwaka) iliyotoka mwezi wa kumi mwaka huo huo, na baadae kufuatia na na wimbo wa Flying Without wings, pia ilijumuishwa katika filamu ya Warner Brothers, Pokemon 2000. Albam yao ya kwanza iliyoitwa Westlife ilitoka mwezi wa kumi na moja mwaka 1999, na kushika nafasi ya pili katika chati ya muziki ya Uingereza. Lakini cha ajabu, albamu hiyo ya ilishuka chati kutoka namba tatu hadi namba 37, na oia ndio ndio wimbo pekee wa kundi hilo ambao haukuwahi kufika namba moja.

 
Brian McFadden alijitoa Westlife kwa ajili ya familia.

Mwezi wa kumi na mbili, nyimbo mbili kwa mpigo zilitoka, ambazo ni I Have A Dream, Seasons in the Sun nazo zilishika nafasi ya juu katika katika chati ya The Millennium Prayer na kuufanya wimbo huo, kuwa wimbo wa kwanza wa Christmas kwa mwaka 1999, Chrismas number-one single Wimbo wa tano na mwisho katika albamu hiyo, wimbo wa Fool Again ambao pia ulishika namba moja.Halafu kundi hilo la muziki likaendea katika matamasha madogo nchini Uingereza na katika bara la Asia katika kuunga mkono albamu yao ya kwanza kabla ya kutoa albamu ya pili

Albamu ya Coast to Coast ilitoka mwaka mmoja baadae na ilishika namba moja katika Album za Uingereza na kuzishinda albumu ya Spice Girls Forever. Ikaongoza na kuwa albamu ya nne kwa mauzo kwa mwaka 2000, na ndio albumu ya iliyowahi kuongoza zaidi katika albamu za Westlife. Albumu hii,iliwashirikisha wanamuziki kama Mariah Carey katika moja ya nyimbo nzuri zaidi za Phill Collins. Against All Odds (Take a Look at Me Now), wimbo halisi wa My Love (wimbo ambao ulijaribu kuvunja historia yao ya kwanza). Nyimbo zote mbili ziiweza kufika namba moja katika chati ya Uingereza

Kutokana na hili, Westlife walivunja rekodi bila kutegemea ya kuwa na nyimbo zao saba za kwanza kushika namba moja, katika chati ya Uingereza, na kufuatiwa na The Beatles. Pamoja na hayo mwezi wa kumi na mbili mwaka 2000, walishindwa kufikia kushika chati yao ya hapo awali ya nchini Uingereza na Ireland na ni wimbo mmoja wa What Makes a Man na kuwa na vitu vya kuvutia kama vieleBob The Builder's Can We Fix It, ilikuwa na nyimbo ya kwanza ya Chrismass ya mwaka. Nje ya Uingereza na Ireland ambazo zilitolewa. I Lay My Love on You na When You're Looking Like That, na kupata mafanikio katika chati za Uingereza. Mwaka 2001, wavulana hawa walizindua matamasha yao duniani, Where Dreams Come True Tour jina lisilo rasmi. The No Stool Tour kutokana na tabia ya wanamuziki hawa kuimba wakiwa wamekaa katika stuli Walitoa, albamu yao ya tatu World Of Our Own mwezi 2001,Uptown Girl,Queen of My Heart na World of Our Own, zilitoka kama nyimbo moja moja, ambapo zote zishika namba moja katika chati ya Uingereza,. Bop Bop Baby ilitolewa pia kama nyimbo ya pekee lakini yenyewe ilishika namba ya tano mwisho katika chati ya Uingereza. Mwaka 2002, Westlife walifanya matamasha yao duniani katika albamu ya.The World Of Our Own

Unbreakable -Kuondoka wa Bryan(2002-2004) hariri

Bendi hii ilitoa wimbo wa pekee wa kumi na moja, Unbreakable mwaka 2002. ndipo pakaibuka tetesi za kusambaratika kwa kundi hilo, Westlife walitoa albamu yao nyingine mwezi wa kumi na moja,mwaka huo huo,iliyoitwa Unbrekble- The Greatest Hits Vol. 1 na kuanza katika namba moja nchini Uingereza, na kufuatiwa na nyimbo mbili za pekee zilizoitwa Tonight/Miss You Nights ambazo zilishika nafasi ya tatu,katika chati ya Uingereza Katika kipindi hiki,kufuatia kupenda kutengeneza filamu, walifanya makala katika Televisheni iliyoitwa "Wild Westlife" iliyoongozwa na Iain McDonald iliyofanywa na kundi la Westlife lenyewe. Ilikuwa inaonesha jinsiya maisha na muziki na haliilivyo katika matamasha yao ya muziki .

Mwaka 2003,Westlife walifanya tena maonesho ya duniani na kuiita The Greatest Hits Tour na kuzidi kupateza uvumi wa kusambaratika kwao Mwezi Septemba mwaka 2003, walitoa wimbo ulioitwa Hey Whatever ambao ulishika nafasi ya nne, katika chati ya muziku ya Uingereza, .Albamu ya nne ya studio Turnaround iliachiwa mwezi wa kumi na moja na kushika nafasi ya kwanza kwanza katika chati za Uingereza .Mandy wimbo katika kufidia Barry Manilow uliachiwa mwezi wakumi na moja mwaka 2003.Toleo la sasa liliweza kuwafanya washinde rekodi ya tatu na tuzo ya mwaka ndani ya miaka mitano. Wimbo wao wa Mandy umeweza kufanya vizuri na kushika nafasi ya kwanza kuanzia nafasi ya mia mbili(Kutoka #200 hadi #1) katika historia ya chati ya muziki ya Uingereza. Obvious Ilitoka kama wimbo wa mwisho katika albamu hii. Ambao wenyewe ulishija hadi nafasi ya tatu.

Tarehe 09/03/2004, zikiwa zimebaki siku tatu tu kabla ya kuanza kwa tamasha lingine la maonesho duniani, Bryan McFadden alicha kuwa mwanachama wa kundi la Westlife ili awezekuwa na muda mwingi zaidi wa kukaa na familia yake na kuweza kufanya kazi zake binafsi. Katika siku hiyo, Uliitishwa mkutano na waandishi wa habari, ambapo wanamuziki wote wanaotengeeza kundi la Westlife waaliweza kutoa hatuba yenye kusikitisha. Onesho la mwisho la kundi hilowakiwana Bryan lilifanyika katika viwanja vya Newcastle Upon Tynes Powerhouse tarehe27/02/2004. baadae aliendelea kutoa nyimbo zake binafsi kama vile,kumua kurudisha jina lakekama lilivyokuwa hapo awaliyaani Brian, na kuanza kutoa nyimbo kama vile Real To Me ambayo ilishika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki Ya Uingereza, na uda mfupi baadae alitaalbamu yake ya kwanza kama mwanamuziki wa kujitegemea iliyoitwa Irish Son chini ya kampuni ya Sony Music, na kuendeleakutoa nyimbo mbalimbali katika mafanikio ya kawaida

Allow Us To Be Frank-10 years(2004–2009 hariri

Ndani ya mwezi mmoja tangu,McFadden aondoke, Kundi lilianza maonesho ya matamasha ya albamu ya Turnaround Tour onesho la moja kwa moja la Flying Without Wings ilitolewa maalumu, na kuwasaidia kupata namba moja katika chati ya Uingereza, .Baada ya hapo, walaiamua kuweka Rat Park katika albamu.Allow Us To Be Frank ikishika namba tatu. Hakuna wimbo uliotolewa kama pekee katika albamu hii. Ain't That A Kick In The Head", ukiwa na video ya muziki ulitolewa kwa ajili ya mataifa mengine ya Uropa. Smile na Fly Me to the Moon na video ya muziki pia.ilitolewa, tangu kutolewa kwa albumu yao,Westlife wamekuwa wakitafuta washabiki wa hakika ili kuwasadia katika kuinua album yao,katika moja yamaonesho yao maalumu ya "She's The One"niliyofanywa na Kate Thornton Baada ya X-Factor walimpata Joanne Hindley ambaye waliweza kurekodi nae wimbo wa The Way You Look Tonight.Kutengeneza huu ushirikiano maalumu, kipindi maalumu kiliandaliwa kikionesha nyimbo na maonesho ya moja kwa moja .Matamasha yaliyojuisha Joanne, Westlife waliendela kwenda hadi Uropa kama sehemu ya maonesho yao,. Ya The Number Ones Tour kabla ya kuchukualikizo ya miezi minane kutoka kazini. Tarehe 4/5/2005, Westlife walipoteza nembo yao ya biashara ya "West" kutoka kwa Kampuni ya Kijerumani.Mwaka2005, walirudi na na wimbo mmoja wa You Raise Me Up ambao pia ulichuliwa katika albamu yao ya Face To Face Tarehe 6/11/2005, nyimbo hiyo pamoja na albamu zilikua tayari zimeshafika katika namba moja katika chati ya muziki ya Uingereza naukafanya hivyo hivyo katika wiki ya pili .

Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa kundi la Westlife kuwahi kufikisha wimbo mmoja na albamu kwa mpigo katika namba moja ndani ya wiki moja.. Wimbo wa "You Raise Me Up" uliunikiwa kama rekodi yao ya nne katika mwaka 2005, katika chati ya Muziki ya Uingereza. Mwezi wa kumina mbili mwaka huo huo, kundi hilola muzokilikatoa wimbo ulioitwa "When You Tell Me That You Love Me" walishirikiana na Diana Rose wimbo wa pili wa pekee, ambao pia ulifika hadi namba mbili katika chati ya muziki ya Uingereza. Baada ya Hapo, Westlife wakatoa wimbo wa tatu wa pekee, ulioitwa "Amazing ambao ulifika hadi namba nne, na kuwa ndio wimbo wa kwanza uliofanya malipo madogo kuliko zote.

Baada ya hapo, Westlife, wakaanza kuangalia kufanya matamasha yaliyoitwa "Face To Face Tour kwa kusafiri zaidi katika nchi za Uingereza, Ireland, Australia na bara la Asia. Ndio katika wakati huu, kuwa kundi la Westlife lilipoweza kufanya tamasha katika nchi ya China Mwishoni mwa mwaka 2006, Westlidfe waliandika mkataba mpya na kampuni ya Sonny albamu yaoya nane iliyoitwa The Love Album na tamasha la Love, albamu ambayo ilikuwa na nyimbo nyingi zaidi zikiwa ni za mapenzi. Albamu hiyo, iliweza kuuza nyimbo za pamoja Compilation Albumshadi Oasis. Wiki ya kwanza tangu itolewe iliweza kushika mbili moja katika chati na kwenda hadi namba moja katika wiki iliyofuatia. Wimbo wa kwanza kutoka katika albamu ya The love Album,ulikuwani wimbo wa Bette Midler, "The Rose" ambao pia ulikuwa ni wimbo wa kundi hilo wa kumi na nne, uwahi kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza. Kwa nyimbo moja moja.Hii ikawanya Westlife, kushika nafasi ya tatu kwa wanamuziki wenye nyimbo nyingi moja moja kuwahikufika katika nafasi ya kwanza , wakiwa na Cliff Richard , waliokuwa wakimetngulia katika chati hiyo ya muziki yanchini Uingereza ni Elvis Presley, aliyekuwa na nyimbo 21, na The Beatles walikuwa na nyimbo 17,.Bandi hii,ikaendela na matamasha katika baadhi ya miji nchini Australia kabla ya kwenda nchini Afrika Kusini, Uingereza na Ireland. Bendi hii ilifanya matamasa yao makubwa ya mwisho mwaka2007, katika eneolaBitts Park jijini Carlisle nchini Uingereza Tarehe 5/11/2007, Westlife walitoa albamu yao ya tisa, iliyoitwa Back Home na kujumusha nyimbo tisa za kwao wenyewe na pia nyimbo tatu,ambazo tayari zilikuwa tayari zimekwisha kuimbwa hapo awali. Albamu ilishika namba moja katika chati ya muziki ya Uingereza na pia ilikuwa ndio iliongoza kwa mwaka 2007 kwa mauzo nchini Uingereza,.Wimbo wa kwanza kutolewa kutoka katika wimbo albamu hio,ulikuwa ni wimbo wa Michael Buble's ulioitwa 'Home" ambao ulifika hadi namba tatu katika chati ya muziki ya Uingereza

"I'm Already There" ambao haukutolewa kama wimbo mmoja ,ulifanya vizuri pia, katika chati ya muziki ya Uingereza, kufuatiwa na oneshola TheX-Factor. Tarehe 15/12/2007, Walifanya onesho la masaaa mawili mfululizo ambapo waliimba nyimbo kumi nyimbo ambazo zilikuwa zimepigiwa kura na mashabiki wao katika Tovuti kutoka katika albamu ya Bach Home, katika tamasha lililoitwa "The Westlife Show" tamasha lililoandaliwa na Holly Willoughby Wakati huu, Westlife pamoja na Tesco walifanya zoezi lililoitwa " The Definite Quiz" ambalo lilikuwa linauliza historia nzima ya kundi hilo. Lilishikisha mashabiki wa Westlife dunia nzima .Mwezi mmoja baadae wimbo wa Us Against the World ulitoka na kuwa wimbo wao w pili wa pekee nchini Uingereza na Ireland, na kushika nafasi ya nane, na na ndio wimbo ambao umewahi kushika nafasi ya chini kabasa hadi leo Kabla ya kutoka kwa wimbo wao wa pekee, wa pili, walifanya tena onesho lililoitwa BackHome Tour mwaka 2008, tarehe 25, ya mwezi wa pili.Maonesho haya yakafanya mara ya kwanza kwa kundi hilikusafiri na kufanya maonesho katika nchi za New Zealand na kufanya maonesho manne katika maeno ya Auckland, Wellington, New Plymouth na Christchurch. Wakati huo huo, wimbo wa Something Right ulitolewa kama wimbo wa pili wa pekee. Wimbo wa "Us Agaist The World" ukawa wimbo wa tatu kutolewa kati nchi za Uropa, Asia na nchi za Bahari ya Pasifiki. Nyimbo zote mbili ilifanya vizuri ikiwa ni pamoja na kushika nafasi za juu katika chati mbalimbali za muziki Katika kuadhimisha mwaka wao wa kumi katika Muziki, Westlife walifanya onesho, lililoitwa 10 Years Of Westlife na kufanya tamasha hili kuwa kubwa kwa upande wa dunia lilikuwa tamasha la thelathini na tatu,na upande wa Uropa ilikuwa tamasha na nne, kwa ukubwa,na lilifanyika katika uwanja wa Croke Park tarehe 01/06/2008.Tamasha hilo lilikuwa na watu 82,000,na ndio tamasha lililowahi kuwa na watu wengi zaidi hadi leo katika historia ya Westlife Shayne Ward alijumuika katika kutoa ushirikiano katika kamasha hilo,na Kian alitambuliwa kwa kupenda zaidi muziki wa aina ya pop. Shane alihakikisha kuwa, DVD ya oensho katika tamasha hilo,ingetoka karibuni. Kundi hili la Muziki likatangaza kuwa, linaenda katika mapumziko kwa kuda wa mwaka mmoja baada ya onesho la "Back Home" na kutakuwa hakuna Albamu itakoyotolewa kwa mwaka 2008,kwani watakuwa wanatengeza albamu yaoya kumi. Tarehe 16/06/2008, Harper Collins UK atatoa historia ya maisha ya Westlife iliyoitwa Westife-Our Story kama sehemu ya sherehe yao ya mwaka. Kitabu kilisemakana kuandikwa na kila mwanakikundi kwa muda wamiezi mitatu.. na kilijumuisha histiria ya maisha yao katika biashara wa Muda wa miaka kumi Pia kilikuwa na seheme ya maisha binafsi na picha kutoka kwa vijana hao.Kama walivyoahidi katika Tovuti yao,tarehe 27/09/2008 kuhusu kuotka kwa Nakala za DVDtarehe 24/11/2008, iliyokuwa na jinala 10 Years Of Westlife-Live at Croke Park Stadium ambayo ilienda moja kwa moja katika nafasi ya kwanza katika nchi za Uingereza,Ireland, Afrika ya Kusini,Hong Kong na New Zealand .katika chati ya muziki na DVD. Kama kikundi, walimaliza matamasha yao ya Back Home Tour kwa mafanikio, Louis Walsh akatangaza katika onesho la Xpose, kuwa, tarehe 01/7/2008,ndio siku ya kwanza rasmi ya mapumziko ya kundi hilo la Westlife.na kusema kuwa,itakuwa ni mapumziko ya mwaka mzikma yaani kuanzia siku hiyo hadi tarehe 1/7/2009.Tarehe 13/12/2008, Westlife wakati wakiwa bado katika mapumiziko, walitokea katika onesho la X Factor usiku wa mwisho waliofanya onesho la wimbo wa "Flying Without Wings" na JLS. Baada ya kufanya onesho, Shane na Nicky, walifanyiwa mahojiano na Xtra Factor pamoja na Stephen Gately wa kundi la Boyzone.Kutokana na JLS nae kufanya oneshola wimbo "I'm Already There. Wimbo wa Westlife, ambao uliingizwa kwa mara ya pili, ulishika namba 63,wakati katika ingizo jipya la nchini Ireland katikanyimbo za pekee,ulishika nafasi ya 43, kutokana na watu wengi kutoa nyimbo hizo katika tarakilishi.

Kabla ya Sikuu ya Christmas,waliandika katika tovuti yao kuwa,mwaka 2009,utakuwa ni mwaka wenye msisimko kwa Westlife. Kwa hali hiyo, mashabiki wa Kundi hilo,wakahisi kuwa, hii ni kwa sababu ya ushirikiano wanotaraji kufanya na wanamuziki kama vile Leona Lewis naBritney Spears. Wakiwa bado kwenye mapumziko,Westlife waliripotiwa kuwa na mpango kabambe kauhusiana na oneshola 70, lililotarajiwa kugharimu kiasi cha Euro miliono 10, kwakufikia mwisho wa mwaka 2009 Wiki ya kwanza ya mwezi wa kwanza mwaka 2009,DVD yenye jina The Karaoke Collection ilitoka.Ilikwa na baadhi ya nyimbo zao zenye oicha yaani video zilizowahi kupendwa zaidi. Tarehe 27/3/2009, katika suala la Herald Ireland,Louis alibainisha kuwa,Simon tayari alikuwa ameshachagua nyimbo tatu, ambazo aliamini kuwa zitakuwa zenye kupendwa zaidi. Nicky, alibainisha kuwa,Kundi hilo la Mziki litarudi katika chati ya muziki,mara litakaporejea na kuanza kurekodi mwaka 2009,alisema hayo wakati akipokea tuzo yake ya VIP Style Awards ya mwanaume mwenye aina tofauti tofauti za mwonekano katika X-pose, TV3. Tarehe 18/03/2009,walishinda tuzoya kundi lililoongoza kutoka Ireland katka tuzol za2009 Meteor Awards kwa mara ya nne mulilizo.. Tarehe 28/05/2009,walitoa Westlife-Our History historia ya maisha yao, na kungezea yaliyotokea katika Croke Park na mara ya kwanza katika kitabu kigumu.


Mahali Tulipo(2009-Sasa) hariri

Walsh akasema baada ya kutoka katika likizo ya mwaka mzima ya Westlife,marafiki na familia zao, Westlife watarudi tena katika chati malimbali za muziki. Mwei wa sita wakati wakifanyia kazi albamu yao ya kumi. Walsh akasema pia, wakati alipokutana na Simon Cowel wlijadiliana juu ya kurudi kwa kundi laWestlife.Wakati huo,nymbo tatu tayari zilikuwa zimeshachaguliwa ambazowaliamini kuwa zitakuwa zamafanikio mara zitakapotolewa na kundi hili la Westlife. Westife watafanya onesho lao la mwaka 2010,katika maeneomawili lakini eneol la Croke Parklikiwa kichwani. Kwa sasa wameshapanga maonesho

Kwa sasa,Westlife wamepanga kufanya onesho katika eneo la Croke Park tarehe 5 mwezi wa sita. Katika mipango ya hivi karibuni, wamepanga kufana matamasha 70, katika kuelekea mwisho wa mwaka, hii ikijumuisha matamasha nane katika jiji la Dublin, katika eneo la '02, na katika maeneo makubwa katika nchi ya Ireland, Uingereza na nchi nyingine.Shane analiambia Irish Mirror kuwa,wnataka kufanya albamu yao inayofuatia kuwa moja ya kati ya albamu zao nzuri zaidi Baadhi ya washindi wa X-Factor,JLS, watashiriki na kundi la Westife katika tamasha la Mwaka 2009, linalojukina kama " Where we are-Tour"

Mpangilio a kurekodi albamu ya kumi, ulianza tarehe 1/7/2009, katika studioza Telefunken, katika jiji la London. Nicky alisema kuwa kutakuwa na waandishi na wazalishaji wa muziki wa hatua ya kwanza katika album inayafuatia.Pia alitakakushirikisha watu kama,Chris Martin wa kundi la Coldplay ambaye ametokea kuwa moja kati ya wanamuziki ambao kundi hili laWestlife wanalopenda zaidi..Ryan Tedder wa kundi la OneRepublic na mwandishi na mzalishaji wa muziki ambaye ameshafanya nyimbo kama vile Shadow (akisaidiwa na AJ McLean wa kundi laBackstreet Boys),na wimbo wa "Beautful" ambao unaweza ukatokea katka albamu yao inayokuja hivi karibuni. Wimbo mwingine unaoitwa "Leaving" Darren Hayes, Desmond Child, Guy Chambers, Leonard Cohen, Chris Braide, Andreas Carlsson, Wayne Hector, Walter Afanasieff, Ben Adams, JC Chasez na Shaznay Lewis waliwahi kusemekana kufanya kazi na kundi la Westlife, katika wimbo Ulioitwa " As Love Is My Witness" uliorekdiwa na kundi hilo na wimbo wa "Now Can't LetGo" wimbo wa Westlife ambao ulishawahi kufanywa na Hector nakutapakaa katika tovuti. Wimbo mwingine uliowahi kurekodiwa na kundihili, Uliitwa " No More Heroes" I Uliondikwa na Lindy Robbins pia uanegemea kutokea albamu yao ningine.Wimbo wa "Rach out" uliandikwa kwa msaada wa mwanakikundi Mark feehily na Chriss Braide na Shaznay Lewis. Albamu yao ya Where We Areilitoka tarehe 30/11/2009,na kushika nafasi ya pili katika chati ya muziki ya Uingereza na Ireland. Kibao chao cha What About Now kilitoka wiki kadhaa kabla tarehe 23/10/2009,na kupatikana katika wavuti siku kadhaa baadae,na kibaohicho,kilishika nafasi ya pili katika chati ya muziki nchini Uingereza na nchini Ireland. Doughtry kilipata kufahamika baada ya onesho la X Factor tangu kutoka kwa nyimbo za Westliefe. Kundi hili la muziki limepanga kutengeneza nyimbo kwa kushirikiana na 'Mariah Carey,na ndio utakua wimbo wa pekee wa pili kuwahi kushikishwa kwa Mariah Carey, wimbo utaitwa "Call Me Now"na utakuawa maalumu kwa ajuli ya Uingereza peke yake Shane alesema katka onesho la Paul O' Grady" lililofanyika tarehe 4/12 kuwa kundi litafanya maonesho katika kipindi cha joto cha mwaka 2010,na tarehe za maonesho hayo zitatangazwa karibuni.Maonesho hayo yatakuwa na jina la "The Where We Are Tour"

Soko la Marekani hariri

Westlife hadi sasa hawajaweza kuafanya vizuri sana katika soko la Marekani. Moja kati ya vibao vilivyoahi kufanya vizuri katika maeneo mengine kama vile Swear It Again kilichofika nchini Marekani mwaka 2000, kilikuwa kikip[igwa katika maeneo machache tu, na kundi hilo liliweza kufanya onesho moja katika MTV televisheni, Total Request Live. Wimbo huo ulishika nafasi ya 20 katika chati ya Billboard,nyimbo 100,bora, na ulikuwa namba 75, katika chati ya miziki 100 bora kwa mwishoni mwa mwaka. 2000. pia Ili kuwezesha albamu nyingine ya Westlife iliyoitwa World Of Our Own lakini hawakuweza kupata nafasi nzuri na hivyo kuamua kutilia mkazo katika masoko yake, katika masoko ya nje ambako ndiko wana mashabiki wengi zaidi. Lakini hili lilikuwa ni shauri gumu kuamua kwani,kundi la Westlife lingeweza kufanya vizuri kutokana na makundi maarufu kama Backstreet Boys na N'Sync yalikuwayameenda katika mapumziko kwa mwaka huo,na Kundi la Westlife lingeweza kutumia nafasi hii,katika kujipatia umaarufu. Wimbo wa Westlife,unaoitwa Flying Without Wings ulishika nafasi ya pili nchini Marekani,wakati mashindi wa Marekani katika mashindano ya American Idol na mshindi Ruben Staddard aliporekodi na kutoa wimbo wake wa kwanza.Kundi hili,lilikatishwa tamaa kwa nini,walikuwa na mpango wa kupeleka wimbo huo,nchini Marekani katika siku za hivi karibuni.Mwaka 2003, Westlife walikwenda katika eneo la Nashvielle kwa ajili ya kutengeneza filamu kwa ajili ya makala ya Televisheni ya BBC, iliyoitwa "Swapping Notes:Westlife go Country" .Wakati wakiwa pale, walifanya onesho la maja kwa moja la wimbo wa Daytime Friends wimbo ambaoni wa Mwanamuziki mkongwe wa Muziki wa kantri Kenny Rogers ambao uliwapatia umaarufu sana Hivi karibuni,Mahojiano yaliyofanywa na Lois Walsh na Simon Cowel yalitanabaisha kuwa, kundi hilo Muziki litajaribu kujipenyeza katika sokola Marekani katika Albmu yao ya mwaka 2002-2010, America's Got Talentulitengenezwa na Simon Cowel anajaribu kutumia nyimbo za Westlife kama vile "Us Against the World", "Flying Without Wings na "What Makes a Man" kama nyimbo zitakazokuwa zinasindikiza tamasha hilo. Westlife wenyewe wamesemakuwa,kufanya kazi waandishi wa nyimbo katika albamu ya Where We Are ili[okea kama bahati mbaya na pia wameshasahau kamawalishindw kufanya vizuri katika soko la Marekani. Westlife wametengeza maukato yao wenyewe yanayoitwa Westlife X na yanapatikana kwa kupitia anwani ya www.jigsawesl.co.uk. Manukato yaliyozinduliwa rasmi katika jiji la Dublin.Mwezi wa kumina moja tarehe 09.

Kushirikisha hariri

Kundi la Westlife,limesaini mkataba chini ya Uangalizi wa nembo ya kampuni ya Sonny Music Louis Walsh, Simon Cowel,Sonny Takhar, Tim Bryrne ni kati ya timu ya Uzaishaji wa kazi za Westlife.Mbali na Steve mac na Wayne Hctor kundi hili pia lina nafasi ya kufanya kazi na waandishi waandishi wa nyimbo nawatengezaji wa nyimbo.Hawa ni baadhi ya yaoambo tunaweza pia kuwaona katika makasha ya nyimbo zao,Savan Kotecha,Rami Yacoub, Peter Magnusson, David Kreuger, Max Martin, Anders Johansson, Josef Larossi, Jorgen Elofsson, Andreas Carlsson Arnthor Birgisson, Kristina Lundin,Jake Schule,Diane Warren,na wengine wa hivi karibuni ni pamoja na Ryan Tedder, na kwa nyimbo za kuchanganya Rokstone,Orphanz Boyz,Wideboys,Soul Seekers na JimSteinman,wameshafanya kazi na kundi hili na kumaliza nyimbo kadhaa. Kundi limeshafanya ushiikiano na wanamuziki maarufu kama Vile, Mariah Carey katika wimbo (Against All Odds,(Take A Look At Me Now) Lulu, (Back at Me), Joanne Hindley,(The Way You Look Tonight), Diana Rose (When You Tell Me That You Love Me), Donna Summer (No More Tears (Enough Is Enough), Delta Goodrem (All Out of Love) na If I Had Words na The Vards I Have A Dream na Mwanamuziki mtoto kutoka Nchini Indonesia, Shrina na wimbo wa "My Love" Amir Diab. Nyimbo hizi pia zilirekodiwa na kujumuishwa katika albamu mbalimbali. Mwaka 2002, Westlife walirekodi wimbo wao bora zaidi Flying Without Wings na Cristian Castro na mwimbaji wa Korea BoA kama wimbo uliofanywa na watu tofauti tofauti Westlife wameshafanya maonesho yanayoshirikisha waimbaji tofauti zaidi ya mmoja,na kuwashirikisha wanamuziki kama vile, Sinéad O'Connor ("Silent Night"), Donny Osmond ("Crazy Horses"), Mariah Carey ("Never Too Far/Hero Medley"), Secret Garden ("You Raise Me Up"), Lionel Richie ("Easy"), Ronan Keating ("The Dance"), Dolores O'Riordan of The Cranberries ("Little Drummer Boy"), Roy Orbison ("Pretty Woman"), Delta Goodrem ("All Out Of Love"), Raymond Quinn ("That's Life"), Leehom Wang ("You Raise Me Up"), Mary Black ("Walking In The Air"), Kevin Spacey ("Fly Me to the Moon"), Do ("Heaven"), JLS ("Flying Without Wings"),na waimbaji wengine maarufu, "All-Stars, ("That's What Friends Are For"; "Merry Christmas Everybody"; "I Wish It Could Be Christmas Everyday") na hata baba zao ("That's Life"). Maa kati waongozaji wa video waliowai kufanya kazi na kundi la Westlife ni pamoja na, Cameron Casey, Wayne Isham, Nigel Dick, Stuart Gosling, Phil Griffin, Antti Jokinen, David Mould, Alex Hemming, Philip Andelman, Max Giwa and Dania Pasquini.Shayne Ward, No Way Out, K-otic, Natural, Six, Totally Spies, D-Side and Lauren Waterworth, Bellefire, The Conway Sisters, V, Twen2y4se7en, Zoo, Kwest, Pop, No Way Out, Sub Bass 5, Traphic, Mark Dakriet, 4th Ba5e, Reel, Peter Andre, Girls Aloud, Eton Road, Gareth Gates, Roxanne, Alsou, The MacDonald Brothers, Billiam, Cushh, The Unconventionals, Dyyce, Lady Nada, Code 5, Annabel Fay and Hope have supported the band on different tours.

Kujitolea hariri

Wakati kila mmoja katika kundi hili, ana shughuli zake binafsi za kusaidia watu .Westlife wamekuwa wakitoa misaada mbalimbali kwa vikundi mbalimbali tangu hapo awali.Moja ilikuwa ni wakati kundi hilo liliporekodi kwa mara ya pili wimbo wa I Have A Dream walifanya na mwanamuziki wa Indonesia Sherina kwa ajli ya harambee ya kutafuta hela za shirika la UNICEF Tofauti na hilo, kundihili lilirudia muziki wa Uptown Girl kwa ajili ya maswala ya uchekeshaji, ambao hadi hii leo,ndicho kibao kinachongoza kwa mauzo.Tofauti na hapo,pia wamesaidia shirika la S.I.R.F,katika kutoa msaada kwa wahanga wa kimbunga cha Tsunami Tarehe 4/11/2005. walifanya onesho na Christina Aguilerana Diana Rose katika tamasha laCoca-Cola Dome katika jiji la Johannesburg nchini Afrika ya Kusini, katika kujumuisha wanamuziki maarufu katika chakula cha msaada kilichaondaliwa kwa ajii ya kutoa msaada wa ,Mfuko wa watoto wa Nelson Mandela,Tuungane kupinga njaa, Hospitali ya Mtakatifu Maria na Topsy Foundation. Wamekuwa wakiwasaidia, taasisi ya viziwi ya, Royal National Institute for the Deaf (RNID), ChildLine na Children in Need, Cancer Research UK organizations. Hivi karibuni, walifanya onesho la wimbo wa Us Against the World, moja kwa moja katika viwanja vya michezo vya Bluebell Wood na kushiriki katika tamasha la Galway katika kuhimiza matumizi ya maji masafi, kwa kufanya onesho la matangazo.Na pia wana ofisi rasmi ya kutoa msaada inayoitwa One World Beat.

Diskografia hariri

Matembezi hariri

Marejeo hariri

  1. "Westlife Defend Cover Versions". 2009-10-02. Iliwekwa mnamo 2009-12-07.  Unknown parameter |source= ignored (help)
  2. Gordon Barr. "Westlife breaking records", Evening Chronicle, 29 Februari 2008. Retrieved on 2009-12-27. Archived from the original on 2010-05-24. 
  3. http://www.youtube.com/watch?v=LDXkvxMh_e8

Viungo vya nje hariri