Ezzaki Badou, (الزاكي بادو; maarufu kwa jina la Zaki, alizaliwa 2 Aprili, 1959) ni mkufunzi wa soka na mchezaji wa zamani wa Moroko ambaye alicheza kama mlinda mlango. Anasimamia Timu ya Taifa ya Sudan.

Zaki mwaka 2009

Mafanikio

hariri

Mchezaji

hariri

Wydad Casablanca

  • Botola: 1977–78, 1985–86[1]
  • Coupe du Trône: 1978, 1979,[2] 1981[3]
  • Kombe la Mohammed V: 1979

RCD Mallorca

Mkufunzi

hariri

Wydad Casablanca

  • Coupe du Trône: 1998[4]
  • CAF Cup fainali: 1999
  • Arab Club Champions Cup fainali: 2009

CR Belouizdad

  • Cup of Algeria: 2017

Morocco

Binafsi

hariri
  • Mchezaji Bora wa Morocco: 1979, 1981, 1986, 1988
  • Mlinda mlango Bora wa Morocco: 1978, 1979, 1986
  • CAF African Footballer of the Year: 1986
  • Mchezaji Bora wa Kiarabu wa Mwaka: 1986
  • Golden Ball mkufunzi bora nchini Algeria: 2017[6]
  • Ricardo Zamora Trophy: 1988–89[7]
  • Mlinda mlango bora wa La Liga: 1988, 1989, 1990
  • Mlinda mlango bora wa Kiarabu wa karne ya 20
  • IFFHS Mlinda mlango bora wa Kiafrika wa karne ya 20[8]
  • IFFHS Timu Bora ya Ndoto ya Wanaume wa Morocco ya wakati wote[9]

Marejeo

hariri
  1. Abbink, Dinant; Batalha, José. "Morocco 1985/86". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. Iliwekwa mnamo 12 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Batalha, José. "Morocco 1978/79". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. Iliwekwa mnamo 12 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Batalha, José; Du KAC, PFS; Jönsson, Mikael. "Morocco 1980/81". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. Iliwekwa mnamo 12 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Morocco 1997/98". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. Iliwekwa mnamo 12 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "African Nations Cup 2004". RSSSF.
  6. [https://www.yabiladi.com/articles /details/60990/algerie-badou-zaki-sacre-meilleur.html "Algérie : Badou Zaki sacré meilleur entraîneur pour l'année 2017"]. {{cite web}}: Check |url= value (help); line feed character in |url= at position 34 (help)
  7. "Zaki Badou, historia del Real Mallorca, invitado al centenario del club" [Zaki Badou, historia del Real Mallorca, invitado al centenario del club] (kwa Kihispania). Mallorca Esports. 22 Septemba 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Februari 2016. Iliwekwa mnamo 12 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. sondage réalisé par FIFA World Cup
  9. "IFFHS". IFFHS. 1 Machi 2022. Iliwekwa mnamo 3 Machi 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ezzaki Badou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.