FC Cincinnati ni klabu ya soka ya nchi ya Marekani katika mji wa Cincinnati. Cincinnati iko katika jimbo la katikati la magharibi la Ohio katika Marekani. FC Cincinnati inacheza katika kongamano la mashariki la MLS (Ligi Kuu ya Soka). Tarehe 12 Agosti 2015, FC Cincinnati ilianza katika ligi ya USL. Tarehe Mei 29, 2018, FC Cincinnati ilihamia ligi ya MLS (Major League Soccer).

Beji ya FC Cincinnati

Uwanja wa soka

hariri
 
Uwanja wa FC Cincinnati
 
Luciano Acosta em 2023 pelo Cincinnati na MLS

Kutoka 2016 hadi 2020, FC Cincinnati ilicheza uwanjani wa Nippert. Uwanja wa Nippert upo katika chuo kikuu cha Cincinnati. Timu ya futboli ya Chuo Kikuu cha Cincinnati pia inacheza hapa. FC Cincinnati ina jengo la mazoezi katika jimbo la Ohio, mji wa Milford. Sasa, FC Cincinnati inacheza katika uwanja wa TQL. FC Cincinnati pekee inacheza hapa. Uwanja wa TQL ulijengwa mwaka wa Elfu mbili na ishirini na moja.

Rangi na beji

hariri

Rangi ya kwanza ya FC Cincinnati ni rangi ya chungwa na bluu. Rangi ya pili ni kijivu, buluu nzito, na nyeupe.

Beji ya FC Cincinnati ni rangi ya machungwa, bluu, na nyeupe. Ina neno "Cincinnati". Pia, ina simba mwenye mbawa anavaa taji na anashika upanga.

Nyota ya jaha

hariri

Nyota wa FC Cincinnati ni simba wa chungwa. Ana nywele za bluu na Jina lake ni Gary. Yeye ni mcheshi sana na mashabiki wanampenda.

Muhimu

hariri

Soka ni mchezo kwamba ni upendo watu. Mamilioni ya watu wanacheza soka. Watu wengi katika nchi ya Kenyani ni mfuasi kwa Harambee Stars. Soka ni ya watu zote na ni alicheza zaidi kwa michezo.

Viungo vya nje

hariri