Timu ya Taifa ya Kandanda ya Kenya

Timu ya taifa ya soka ya Kenya, iitwayo Harambee Stars , ni timu ya taifa ya Kenya na imedhibitiwa na Shirikisho la Soka la Kenya. Haijawahi kuhitimu kucheza katika Kombe la Dunia.

Kenya
Shirt badge/Association crest
Nickname(s)Harambee Stars
ShirikaKenya Football Federation
ShirikishoCAF (Africa)
Kocha mkuuTwahir Muhiddin
Home stadiumMoi International Sports Centre
msimbo ya FIFAKEN
cheo ya FIFA105
Highest FIFA ranking68 (Desemba 2008)
Lowest FIFA ranking137 (Julai 2007)
Elo ranking108
Home colours
Away colours
First international
Kenya Kenya 1 - 1 Uganda 
(Nairobi, Kenya; 1 Mei 1926)
Biggest win
Kenya Kenya 10 - 0 Zanzibar 
(Nairobi, Kenya; ?, 1961)
Biggest defeat
Kenya Kenya 0 - 13 Ghana 
(Nairobi, Kenya; 12 Desemba 1965)[1]
Kombe la Mataifa ya Afrika
Appearances5 (First in 1972)
Best resultRound 1, all

Historia hariri

Kenya imetokea katika mashindano matano ya Kombe la Mataifa ya Africa, na haijawahi kamwe kufika raundi ya pili. Timu iliingia katika majaribio ya kufuzu katika kombe la dunia la FIFA mwaka 1974. Kufikia mwaka 2006, bado hawajahitimu michuano ya fainali.

Ahirisho la FIFA mwaka 2004 hariri

FIFA iliahirisha Kenya kutoka shughuli zote za soka kwa miezi mitatu mwaka 2004, kutokana na kuingiliwa na serikali katika shughuli za soka. Marufuku mara yaliachwa baada ya nchi kuukubali kuunda sheria mpya.[2]

Kupigwa marufuku ya kitaifa na FIFA mwaka 2006 hariri

25 Oktoba 2006, Kenya iliahirishwa tena kutoka soka ya kimataifa kwa kushindwa kutimiza mkataba wa Januari 2006 uliobuniwa kutatua matatizo yasioisha katika Shirikisho lao la Soka yao. FIFA ilitangaza kuwa ahirisho hilo lingetimizwa hadi shirikisho lirejee kwenye mikataba ya iliyofikiwa awali.[2][3]

Wachezaji maarufu hariri

Mafanikio ya soka Kenya hariri

Kombe la CECAFA:

Rekodi ya Kombe la Mataifa ya Afrika hariri

{ || valign = "top"

|* 1957 - Hawakuingia

| width="50"|  | valign = "top"

|* 1988 - Zamu ya 1

|}

Mameneja hariri

Marejeo hariri

  1. Kenya International Matches. Kenya International Matches. RSSSF (1 Februari 2000). Iliwekwa mnamo 2007-04-10.
  2. 2.0 2.1 [1] ^ FIFA yaahirisha Kenya - news.bbc.co.uk - BBC michezo, BBC, 25 Oktoba 2006.
  3. [3] ^ FIFA yaahirisha Kenya kwa muda usiojulikana - allAfrica.com - The East African Standard (Nairobi), 25 Oktoba 2006.