Fabiano Augusto Martins Silveira (alizaliwa Belo Horizonte, Desemba 19, mwaka 1974) ni mwanasheria na mwanasiasa wa Brazil.Fabiano Augusto Martins Silveira ni mshauri wa sheria katika Seneti ya Shirikisho la Brazil na alikuwa kwa muda mfupi Waziri wa Uwazi, Usimamizi na Udhibiti wa Brazil.[1]

Marejeo hariri

  1. "Second minister in new Brazil government quits", BBC, 2016-05-30. Retrieved on 2016-05-31. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fabiano Silveira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.