Fabrice Patient Kwizera (28 Machi 1994, Bujumbura ) ni msanii wa maigizo na filamu kutoka nchini Burundi. Katika historia ya tasnia ya filamu nchini Burundi, Kwizera anajulikana kua ameigiza katika filamu fupi kutoka inchini Congo inayo itwa Viva Riva!.

Fabrice Kwizera
Amezaliwa Fabrice Patient Kwizera
Machi 28 1994 (1994-03-28) (umri 30) Bujumbura, Burundi
Kazi yake Muigizaji
Miaka ya kazi Tangu 2010

Maisha

hariri

Fabrice alianza masomo yake katika shule ya msingi ya Cibitoke, na kuendela na masomo ya sekondari huko Municipal Lycee of Cibitoke na baadae kupata uhamisho katika shule moja jijini Bujumbura iitwayo Lake Tanganyika Lycee. Alivyomaliza kidato cha mwisho ndipo alianza shuli za kucheza filamu alipo kutana na mutayarishaji Ivan Goldschmidt kutoka inchini Ubelgiji.

Filamu na Tamthilia Alizotunga

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fabrice Kwizera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.