Fada N’Gourma
(Elekezwa kutoka Fada N'gourma)
Fada N’Gourma ni mji wa Burkina Faso katika mkoa wa Mashariki.
Idadi ya wakazi ilikuwa 73,200 wakati wa sensa ya mwaka 2019[1].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Fada N’Gourma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |