False Flag

Filamu ya Nigeria mwaka 2017

False Flag ni filamu ya Nigeria ya mwaka 2017 iliyotayarishwa na kuongozwa na Allwell Ademola[1].

Ploti hariri

Mwanamume mmoja anakataa kufunga ndoa lakini baadaye anajihusisha kimapenzi na mwanamke ambaye ni muathirika wa ukimwi. Familia yake inachukia mahusiano ya kijana wao na mwanamke huyo na wanataka avunje mahusiano naye[2][3][4].

Wahusika hariri

  • Gabriel Afolayan
  • Aisha Lawal
  • Wumi Toriola
  • Allwell Ademola

Marejeo hariri

  1. nollywoodreinvented (2017-08-26). "False Flag". Nollywood REinvented (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-11-15. 
  2. "False Flag (2016) - nlist | Nollywood, Nigerian Movies & Casting". nlist.ng (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2019-11-15. [dead link]
  3. Nigerian Nollywood Movie Review - FALSE FLAG (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2019-11-15 
  4. "False Flag nigerian movie - Google Search". www.google.com. Iliwekwa mnamo 2019-11-15. 
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu False Flag kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.