Fang Yaoqing
Fang Yaoqing (alizaliwa Aprili 20, 1996) ni mwanariadha kutoka China aliyegombea kwenye miruko mitatu.[1] Aliiwakilisha nchi yake kwenye World Championships mwaka 2017 bila kufika fainali. Awali, alishinda medali mbili za fedha kwenye 2013 World Youth Chamshionships.
Rekodi yake bora za kwenye michuano ni mita 16.58 michezo ya nje (+0.2 m/s, Jinan 2017) na mita 16.47 michezo ya ndani (Xianlin 2017).
Marejeo
hariri- ↑ "Yaoqing FANG | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fang Yaoqing kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |