20 Aprili
tarehe
(Elekezwa kutoka Aprili 20)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 20 Aprili ni siku ya 110 ya mwaka (ya 111 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 255.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1586 - Mtakatifu Rosa wa Lima, bikira mlei kutoka Lima, Peru
- 1633 - Go-Komyo, mfalme mkuu wa Japani (1643-1654)
- 1889 - Adolf Hitler, dikteta wa Ujerumani
- 1908 - Lionel Hampton, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1918 - Kai Siegbahn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981
- 1927 - Karl Alexander Müller, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1987
- 1962 - Cosmas Masolwa Masolwa, mbunge wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 1314 - Papa Klementi V
- 1812 - George Clinton, Kaimu Rais wa Marekani
- 1912 - Bram Stoker, mwandishi kutoka Ireland
- 1982 - Archibald MacLeish, mshairi kutoka Marekani
- 2003 - Bernard Katz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Anicetus, Sulpisi na Servisyani, Sekondini wa Kordoba, Marselino wa Embrun, Mariano wa Auxerre, Theodoro Trikinas, Anastasi II wa Antiokia, Eliena, Wiho, Anyesi wa Montepulciano n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |