Faouzia
Faouzia Ouihya (anajulikana kwa jina la kisanii Faouzia, alizaliwa Moroko, 5 Julai 2000) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mwanamuziki wa asili ya Moroko ambaye alihamia Kanada akiwa na umri mdogo pamoja na familia yake.
Wakati huo, alijifunza kucheza ala mbalimbali za muziki na kuanza kuandika nyimbo zake.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Faouzia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |