Fati Abubakar
Mpiga picha kutoka Nigeria
Fati Abubakar ni mpiga picha mwandishi wa nchini Nigeria, pia ni mpiga picha wa maandishi juu ya Maisha ya watu.
Kazi na Maisha
haririAbubakar alizaliwa na kukulia Maiduguri, Nigeria.[1][2]
Kazi zake zimekua zikichapishwa kwnye gazeti la nchini Marekani la The New York Times, kituo cha televisheni cha CNN Afrika, BBC na Voice of America.[3] Anafanya kazi kuu ya kuandika kuhusu uchungu na changamoto za mji wa Borno, akijumuisha na kikundi cha waasi cha [[Boko Haram. Ana mradi unaofahamika kwa jina la Bits of Borno.[3][4][5]
Marejeo
hariri- ↑ "Fati Abubakar". africasacountry.com. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "'She has been our family's lifeline'". Nursing Standard. 31 (9): 65. 26 Oktoba 2016. doi:10.7748/ns.31.9.65.s48. ISSN 0029-6570. PMID 27787168.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 3.0 3.1 "LagosPhoto | International art festival of photography in Nigeria". LagosPhoto. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "About". Bits of Borno. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-11. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2019.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Women in war zones: Shooting the frontline when you're not a middle class man". Huck Magazine. 19 Oktoba 2018. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fati Abubakar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |