Fatma Othman Ali (alizaliwa 28 Septemba 1950) ni mwanasiasa wa Tanzania ambae amehudumu katika bunge la Tanzania la 9. Ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi yaani CCM .[1]

Fatma Othman Ali

Member of the Tanzanian Parliament
Muda wa Utawala
2005 – 2010
Constituency Special Seat

tarehe ya kuzaliwa 28 Septemba 1950 (1950-09-28) (umri 73)
utaifa Tanzanian
chama CCM

Marejeo hariri

  1. "Member of the Tanzanian Parliament". Parliament of Tanzania. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 January 2014. Iliwekwa mnamo 19 May 2013.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)

Chanzo hariri