Fatuma Mussa Maghimbi

Mwanasiasa wa Tanzania

Fatuma Mussa Maghimbi ni mbunge wa jimbo la ChakeChake katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Mengi kuhusu Fatuma Mussa Maghimbi". 25 Aprili 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje

hariri