Fauzia Najjemba

Mchezaji wa mpira wa miguu Uganda

Fauzia Najjemba (alizaliwa 7 Oktoba 2003) ni mchezaji wa soka wa nchini Uganda ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Kazakhstan Women's Football na timu ya Taifa ya kandanda ya wanawake ya Uganda.

Fauzia Najjemba
Amezaliwa Oktoba 7 2003
Uganda
Nchi Uganda
Kazi yake Mchezaji mpira
Cheo Mshambuliaji


Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fauzia Najjemba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.