Fazila Chiyembekezo

Fazila Chiyembekezo, ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Malawi ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Rivers Angels na Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi.

Klabu hariri

Hapo awali Chiyembekezo alichezea klabu ya Skippers nchini Malawi, baadae aliuzwa kwa mkopo katika klabu ya Rivers Angels mnamo Januari 2022.[1][2]

Ushiriki Kimataifa hariri

Chiyembekezo aliichezea Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi katika mashindano Kombe la Wanawake la COSAFA 2021.[3]

Marejeo hariri

  1. Kalilombe, Frankie (9 July 2019). "Skippers demolish Functured 34-0 in FAM Women’s League". The Nation. Iliwekwa mnamo 15 October 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "MALAWIAN STRIKER SIGNS FOR NIGERIA WOMEN’S LEAGUE CHAMPIONS". Africa Top Sports. 2022-01-30. Iliwekwa mnamo 2022-02-05. 
  3. "Fazila Chembekezo - Soccer player profile & career statistics - Global Sports Archive". globalsportsarchive.com. Iliwekwa mnamo 2023-03-13. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fazila Chiyembekezo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.