Felicitas Rauch (alizaliwa 30 Aprili 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama kiungo katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg nchini Ujerumani.[1]

Felicitas Rauch


Marejeo hariri

  1. Spielerinnenporträt: Felicitas Rauch (German). 1. FFC Turbine Potsdam.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Felicitas Rauch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.