Felicity Okpete Ovai

Mhandisi na Mwanasiasa wa Nigeria

Felicity Okpete Ovai (alizaliwa mnamo 1961) ni mhandisi na mwanataaluma kutoka kijiji cha Degema, Rivers State huko nchini Nigeria.

Felicity Okpete Ovai
Amezaliwa 1961
kijiji cha Degema, Rivers State
Nchi Nigeria
Kazi yake mhandisi

Ni mwanachama wa chama cha Rivers State People's Democratic Party, akiwa ni mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kwenye nafasi ya kamishna wa kazi akitumikia kwenye kitengo hicho tangu mwaka 2003 hadi kufikia mwaka 2006.[1]

Marejeo

hariri
  1. Okon Bassey. "Work Begins On N11.8bn Road Project", Thisday, 26 April 2005. Retrieved on 19 June 2016. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Felicity Okpete Ovai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.