Felix Christopher Mrema

Felix Christopher Mrema (amezaliwa tar. 3 Agosti 1946) ni mbunge wa jimbo la Arusha katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

Marejeo

  1. Mengi kuhusu Felix Christopher Mrema (4 Oktoba 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.