Kaizari Ferdinand III

(Elekezwa kutoka Ferdinand III)

Ferdinand III (13 Julai 16082 Aprili 1657) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1637 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Ferdinand II, na kufuatiwa na Leopold I.

Kaizari Ferdinand III
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Ferdinand III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.