Fernando Chomalí Garib

Fernando Natalio Chomalí Garib (alizaliwa 10 Machi 1957) ni askofu wa Chile wa Kanisa Katoliki ambaye amekuwa Mkuu wa Jimbo la Santiago nchini Chile tangu Desemba 2023. Aliwekwa wakfu kuwa askofu mnamo mwaka 2006, alihudumu kama askofu msaidizi wa Santiago kwa miaka mitano, na kuanzia 2011 hadi 2023 alikuwa Mkuu wa Jimbo la Concepción.[1]

Fernando Chomalí Garib

Papa Fransisko amepanga kumfanya kuwa kardinali mnamo 7 Desemba 2024.[2]

Marejeo

hariri
  1. "Monseñor Fernando Chomali pidió promover la paz en Medio Oriente", 25 November 2012. (es) 
  2. "Monseñor Fernando Chomali ha sido nombrado Arzobispo de Santiago". Conferencia Episcopal de Chile (kwa Kihispania). 25 Oktoba 2023. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Oktoba 2023. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.