Feryal Ashraf Abdelaziz (aliyezaliwa 16 Februari 1999) ni mwanakarate wa Misri pia ni Mmisri wa kwanza wa kike kushinda medali ya dhahabu katika Michezo ya Olimpiki.[1] Alishinda medali ya dhahabu katika hafla ya wanawake wenye uzito wa kilo 61 katika Olimpiki ya mwaka 2020 iliyofanyika Tokyo, Japani.[2][3]

Tanbihi hariri

  1. "Tokyo Olympics: Feryal Abdelaziz becomes first Egyptian woman to win gold". Middle East Eye (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-28. 
  2. IOC (2018-04-23). "Tokyo 2020 Summer Olympics - Athletes, Medals & Results". Olympics.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-28. 
  3. "Feryal ABDELAZIZ". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-28. 

Marejeo hariri

1. Ayoubi, Nur (7 August 2021). "Tokyo Olympics: Feryal Abdelaziz becomes first Egyptian woman to win gold".

2. "Karate Results Book" (PDF). 2020 Summer Olympics. Archived (PDF) from the original on 10 August 2021. Retrieved 10 August 2021.

3. "ABDELAZIZ Feryal". Tokyo Organising Committee of the Olympic and Paralympic Games. Retrieved 2 September 2021.