Finnmark
Finnmark au Finnmárku (Sami ya Kaskazini) ni moja kati ya Majimbo ya Norwei ambalo lipo mno upande wa kaskazini-mashariki mwa nchi ya Norwei. Kiinchi imepakana na mipaka ya jimbo la Troms kwa upande wa magharibi, Finland (Lapland) kwa upande wa kusini na Urusi (Murmansk Oblast) kwa upande wa mashariki, na kwa maji, ile Bahari ya Kinorwei (Bahari ya Atlantiki) ipo kwa upande wa kaskazini-magharibi, na Bahari ya Barents (Bahari ya Aktiki) ipo upande wa kaskazini na kaskazini-mashariki.
Awali jimbo lilikuwa likijulikana kama Finmarkens amt au Vardøhus amt, na tangu 2002, limepata kuwa na majina rasmi mawili: Finnmark (Kinorwei) na Finnmárku (Kisami). Ni moja ya sehemu ya kanda ya Sápmi, ambayo ina eneo la majimbo manne, vilevile Kanda ya Barents, na ni jimbo kubwa lenye wakazi wadogo humo nchini Norwei.
Lipo mjini Kaskazinisana mwa bara la Ulaya, ambapo Norwei inahemea upande wa mashariki, Finnmark daima imekuwa eneo ambapo mashariki yanakutana na magharibi, kiutamaduni na vilevile kiasili na kijiografia. Vardø, manispaa iliyopo mjini mashariki mwa jimbo, lipo mashariki ya mbali zaidi kuliko St. Petersburg na Istanbul.
Manispaa za jimboni hapa
haririKwa sasa, kuna takriban manispaa 19 katika Finnmark.
Manispaa za Finnmark | |
---|---|
Key | |
|
Bibliografia
hariri- Bjørbæk, Gustav (2003). Norsk Vær i 110 År. Oslo: Damm. ISBN 9788204086952.
- Haugan, Trygve B, mhr. (1940). Det Nordlige Norge Fra Trondheim Til Midnattssolens Land. Trondheim: Reisetrafikkforeningen for Trondheim og Trøndelag.
- Moen, Asbjørn (1998). Nasjonalatlas for Norge: Vegetasjon. Hønefoss: Statens Kartverk. ISBN 9788290408263.
- Norwegian Meteorological Institute (24-hr averages, 1961-90 base period)
- Tollefsrud, Jan Inge; Tjørve, Even; Hermansen, Pål (1991). Perler i Norsk Natur - En Veiviser. Aschehoug. ISBN 9788203166631.
Viungo vya Nje
hariri- Stone age in Finnmark Archived 2012-12-09 at Archive.today
- Finnmark county administration Archived 24 Julai 2011 at the Wayback Machine.
- Visitnorthcape.com - official travel guide to Finnmark
- Finnmark at the official travel guide to Norway
Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Finnmark kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |