Finuala Dowling

Mwana mashairi wa Afrika Kusini




Finuala Dowling alizaliwa Afrika Kusini, Mnamo mwezi Juni mwaka 1962 ni mshairi na mwandishi.[1][2]

Finuala Dowling
Amezaliwa June 1962
Afrika kusini
Nchi Afrika kusini
Kazi yake mshairi na mwandishi





Wasifu

hariri

Ni mtoto wa saba kati ya watoto nane waliozaliwa na watangazaji wa redio Eve van der Byl na Paddy Dowling,Finuala Dowling alipata Shahada ya pili ya Kiingereza kutoka chuo cha Cape Town (UCT) na D.Litt. kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Kusini (UNISA), Ambapo alifundisha kingereza kwa miaka nane.[1][3]

Antholojia yake ya kwanza ya shairi I Flying, ilichapishwa mnamo mwaka 2002 na kushinda tuzo ya Ingrid Jonker.Ameshinda pia Tuzo ya Sanlam ya Ushairi na Tuzo ya Olive Schreiner.Mwaka 2012 Alishinda tuzo ya Fasihi ya M-Net katika kategoria ya Kiingereza ya Utengenezaji wa Nyumba kwa Wanyonge wa Moyo.[4]

Yeye pamoja na Tessa na Cara Dowling wameanzisha kampuni ya burudani inayojulika kwa jina la Dowling Sisters Productions.

Familia

hariri

Dowling anaishi Muizenberg, Cape Town na binti yake.[5]

Mashairi

hariri
  • I Flying, Carapace (2002)
  • Doo-Wop Girls of the Universe, Penguin (2006)
  • Notes from the Dementia Ward, Kwela Books/Snailpress (2008)
  • Pretend You Don't Know Me: New and Selected Poems, Bloodaxe Books (2018)[6]

Riwaya

hariri
  • What Poets Need, Penguin (2005)
  • Flyleaf, Penguin (2007)
  • Homemaking for the Down-at-Heart, Kwela Books (2011)
  • The Fetch, Kwela Books (2015)
  • Okay, Okay, Okay, Kwela Books (2019)

Kuonekana katika antholojia

hariri
  • Portraits of African Writers, ed. George Hallett, Wits University Press (2006)
  • Lovely Beyond Any Singing: Landscape in South African Literature, Helen Moffett, Double Storey (2006)
  • Ingrid Jonker Prize for I Flying (2004)
  • Sanlam Award for Poetry for Doo-Wop Girls of the Universe (2006)
  • Olive Schreiner Prize for Notes from the Dementia Ward (2010)[7]
  • M-Net Literary Award (English category) for Homemaking for the Down-at-Heart (2012)
  • Media24 Books Literary Awards|Herman Charles Bosman Award for The Fetch
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Finuala Dowling kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. 1.0 1.1 "NB Publishers | Authors". www.nb.co.za. Iliwekwa mnamo 2020-12-07.
  2. Rumens, Carol. "Poem of the week: Catch of the Day by Finuala Dowling", The Guardian, 2019-05-13. (en-GB) 
  3. "Finuala Dowling". scholar.google.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-17. Iliwekwa mnamo 2020-12-07. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. Carolyn (19 Oktoba 2012). "The 2012 M-Net Literary Awards Winners". Books LIVE. Iliwekwa mnamo 19 Oktoba 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. https://www.timeslive.co.za/authors/nb-publishers. "This month, Kwela celebrates poet and novelist Finuala Dowling". TimesLIVE (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-07. {{cite web}}: External link in |last= (help)
  6. "Finuala Dowling". Karina Magdalena (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-12-07.
  7. "Finuala Dowling" Archived 7 Novemba 2019 at the Wayback Machine., nb.