Fiston Abdul Razak


Fiston Abdul Razak (amezaliwa 5 Septemba 1993) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya Yanga Sc ya Tanzania na timu ya Taifa ya Burundi.

Fiston Abdul Razak
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 5 Septemba 1993 (1993-09-05) (umri 30)
Mahala pa kuzaliwa    Bujumbura, Burundi
Urefu 1.76 m (5 ft 9 12 in)
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Yanga Sc
Namba 9
Klabu za vijana
Mamelodi Sundowns 2015-17

JS Kabyle 2019-2020 ENPPI 2020-2021 Yanga Sc 2021-

Timu ya taifa
Burundi

* Magoli alioshinda

Viungo vya nje hariri

  • [1] Katika tovuti ya Saleh Jembe
  • [2] Katika tovuti ya Sky Sports
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fiston Abdul Razak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.