Flip Records (1994)

Flip Records ni studio ya kurekodi muziki kutoka jiji la California, ilianzishwa na Jordan Schur mwaka wa 1994. [1] Lebo hii inajulikana kwa kusaini bendi maarufu za nu metal kama vile Limp Bizkit, Dope na Cold. Studio imefanya kazi miaka kadhaa na imeuza albamu milioni 70 duniani kote. [2]

Flip Records
Imeanzishwa 1994 (1994)
Mwanzilishi Jordan Schur
Ilivyo sasa Imefungwa
Usambazaji wa studio Interscope Records
(Nchini Marekani)
Aina za muziki
Nchi Marekani
Mahala California

Tanbihi

hariri
  1. "JORDAN SCHUR IN PARTNERSHIP WITH INTERSCOPE RECORDS LAUNCHES SURETONE RECORDS - UMG". web.archive.org. 2016-01-28. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-28. Iliwekwa mnamo 2022-08-05.
  2. "Wizard World, Inc. Names Michael Breen, Jordan Schur to Board of Directors". www.businesswire.com (kwa Kiingereza). 2017-04-18. Iliwekwa mnamo 2022-08-05.
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Flip Records (1994) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.