Foratiana
Foratiana ulikuwa mji wa kale katika jimbo la Kirumi la Africa Proconsularis, lililokuwepo katika eneo la Sahel huko Tunisia.[1]
Foratiana iliwahi kuwa makao ya dayosisi ya kale ya Kanisa Katoliki. Maaskofu wa eneo hilo wanaofahamika ni:
- Askofu Boniface[2][3]
- John William Comber 1959–1998
- Alberto Bottari de Castello 1999–2007
- José Elías Rauda Gutiérrez (El Salvador) 2008–2009
- Bosco Puthur (India) 2010–2014
- Mar Bawai Soro 2014
Marejeo
hariri- ↑ Joseph Bingham, Origines ecclesiasticae - Volume 3 -(1840) [1] Page 230] .
- ↑ Jonathan Conant, Staying Roman: Conquest and Identity in Africa and the Mediterranean, 439-700(Cambridge University Press, 2012) p175.
- ↑ Victor of Vita, History of the Vandal Persecution
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Foratiana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |