François Naoueyama

mchezaji mpira wa vikapu wa Jamhuri ya Africa ya Kati

François Naoueyama (alizaliwa tarehe 31 Januari 1957) ni mchezaji wa mpira wa kikapu na raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati.[1] Alikuwa mmoja kati ya wachezaji wa timu ya taifa iliyoshiriki Olimpiki mwaka 1988. Alifunga jumla ya pointi 47 kwenye michezo 7 .[2]

Marejeo hariri

  1. "François Naoueyama Photos, News and Videos, Trivia and Quotes - FamousFix". FamousFix.com. Iliwekwa mnamo 2022-09-02. 
  2. "François Naoueyama", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2020-08-30, iliwekwa mnamo 2022-09-02