Françoise Barré-Sinoussi

Françoise Barré-Sinoussi (amezaliwa 30 Julai, 1947) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza virusi visababishavyo ukimwi. Mwaka wa 2008, pamoja na Harald zur Hausen na Luc Montagnier, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Françoise Barré-Sinoussi
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Françoise Barré-Sinoussi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.