Françoise Vimeux

Mtaalamu wa hali ya hewa wa Ufaransa

Françoise Vimeux ni mtaalamu wa hali ya hewa wa nchini Ufaransa. Vimeux ni Mkurugenzi wa Utafiti wa Kisayansi katika chuo cha Institut de recherche pour le développement (IRD), amefanya kazi katika mahabara ya Laboratoire des sciences du climat et de l'environnement (LSCE) na katika maabara ya Laboratoire HydroSciences Montpellier (HSM).

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Françoise Vimeux kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.