Françoise d'Eaubonne

Françoise d'Eaubonne (12 Machi 19203 Agosti 2005) alikuwa mwandishi Mfaransa, mwanaharakati wa haki za wafanyakazi, mwanamazingira na wanawake.

Françoise d'Eaubonne

Kitabu chake cha mwaka 1974 Le Féminisme ou la Mort kilianzisha neno ecofeminism. [1] Alianzisha pamoja Front homosexuel d'action révolutionnaire, muungano wa mapinduzi ya mashoga huko Paris. [2]

Marejeo hariri

  1. Lagarde, Yann (29 September 2021). "Françoise d'Eaubonne, la militante à l'origine de l'écoféminisme". France Culture. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 April 2022. Iliwekwa mnamo 7 April 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Gorecki, Julie (7 March 2022). "What Ecofeminist Françoise d'Eaubonne Can Teach Us in the Face of the Climate Emergency". Verso. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 April 2022. Iliwekwa mnamo 7 April 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Françoise d'Eaubonne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.