Fran Kirby

Mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha uingereza(kuzaliwa 1993)

Francesca Kirby (alizaliwa 29 Juni 1993)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Brighton & Hove Albion, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza.[2]

Kirby akiwa Chelsea mnamo 2021

Marejeo

hariri
  1. https://web.archive.org/web/20200202104009/https://www.fifadata.com/document/FWWC/2015/pdf/FWWC_2015_SquadLists.pdf
  2. "Fran Kirby aiming to become England's mini Messi again after 12 hellish months". The Independent (kwa Kiingereza). 2017-07-18. Iliwekwa mnamo 2024-09-16.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fran Kirby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.