Francisco Dumetz
Francisco Dumetz (alifariki 14 Januari 1811) alikuwa mhubiri kutoka Hispania wa Shirika la Wafransisko. Alitoa jina la Bonde la San Bernardino katika jimbo la California mwaka 1810..[1]
Marejeo
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |